Phill De Ruzige
Friday, October 28, 2011
mhhh jmani kwa hii hali!!!!!!
jamani hii sio fair wala nn!!! first year anapata boom wakuu wao bao!!!! aiseee ni ubugabire au wanataka tuwaaamkie hawa madogo!!!!!!
Thursday, October 20, 2011
back in UDOM
thnx GOD nimefika DOM salama salmini... ila maisha yanaendelea kuwa magumu jamani ..wali buku jero..mmmhh aiseee ni hatari ile mbaya....
Tuesday, October 18, 2011
2 day s to go
ebwana kama kawaida vijana wa pande zile za kwa coes ndo kitu cha usajili kimekaribia ila mbaya...nautamani mtaaaaa ila hali ndo ishakua tata..ni lazima niondoke...
Subscribe to:
Posts (Atom)

